Nijuze
  • Home
  • News
  • Features
  • Op-Ed
  • Infographics
NijuzeNijuze
Font ResizerAa
Search
  • Home
  • News
  • Features
  • Op-Ed
  • About Us
  • Contacts

Popular Posts

infographic-takwimu-za-mauaji
News

Ugomvi wa Familia na Wivu wa Kimapenzi: Vyanzo vikuu vya mauaji Januari – Juni 2026

Tanzania, SpaceX and Starlink Discuss Investment in Communications
News

Tanzania, SpaceX and Starlink Discuss Investment in Communications and Technology

Untitled design 1
News

The Blood and Sweat of Dar’s ‘Mama Mboga’: A Mother’s Fight for 500 Shillings

Welcome to Nijuze News.

Multimedia news platform, delivering in-depth news, analysis, fact-checking, and opinions with a human-interest focus.
Discover
Follow US
© 2026 Nijuze News. All rights reserved.
News

Ugomvi wa Familia na Wivu wa Kimapenzi: Vyanzo vikuu vya mauaji Januari – Juni 2026

By
Nijuze Reporter
Last updated: October 22, 2026
Share
infographic-takwimu-za-mauaji
SHARE

Watu 970 walipoteza maisha nchini Tanzania katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka 2026 kutokana na matukio 936 ya mauaji yaliyoripotiwa.

Mchanganuo huo unatokana na Ripoti Rasmi ya Hali ya Uhalifu iliyotolewa na Jeshi la Polisi kwa ushirikiano na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), ikionyesha ongezeko la asilimia 1.1 la makosa hayo ikilinganishwa na matukio 926 yaliyoripotiwa kipindi kama hicho mwaka 2025.

Kati ya waliofariki, wanaume walikuwa 722 na wanawake walikuwa 248. Taarifa hiyo inabainisha kuwa ugomvi wa majumbani na kifamilia ndicho chanzo kikuu, ukisababisha vifo vya watu 284 (sawa na asilimia 36 ya matukio yote). Vyanzo vingine vikuu ni pamoja na wivu wa kimapenzi (174), kujichukulia sheria mkononi (153), ugomvi katika vilabu vya pombe (114), imani za kishirikina (58), na migogoro ya ardhi (54).

Kijiografia, mikoa ya Dodoma, Kagera, na Tanga imetajwa kuongoza kwa idadi kubwa zaidi ya matukio ya mauaji, ikifuatiwa na Morogoro na Kigoma. Jeshi la Polisi limeendelea kutoa wito kwa jamii kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi na badala yake kutumia vyombo vya sheria, viongozi wa kimila, na taasisi za kijamii kutatua migogoro ili kunusuru maisha ya wananchi.

Tazama infographic kwa mchanganuo kamili wa takwimu hizi.

TAGGED:Infographic
Share This Article
Facebook Email Copy Link Print
ByNijuze Reporter
Follow:
Multimedia news platform, delivering in-depth news, analysis, fact-checking, and opinions with a human-interest focus — Truth in Every Click.
Previous Article Tanzania, SpaceX and Starlink Discuss Investment in Communications Tanzania, SpaceX and Starlink Discuss Investment in Communications and Technology
Leave a Comment Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay informed with Nijuze.

Get the week’s top stories and in-depth features delivered straight to your inbox. Enter your email below and confirm your subscription to start receiving our updates.

HOT NEWS

Tanzania, SpaceX and Starlink Discuss Investment in Communications
News

Tanzania, SpaceX and Starlink Discuss Investment in Communications and Technology

October 8, 2026
Untitled design 1

The Blood and Sweat of Dar’s ‘Mama Mboga’: A Mother’s Fight for 500 Shillings

April 2, 2026
MAHARAGE TATU.jpg

A Trillion-Dollar Vision, A One-Sack Harvest: Young Farmers Risking Everything in a Changing Climate

March 30, 2026
WhatsApp Image 2026 02 24 at 12.59.05

“Localize or Lose”: Ambassador Brennan and Women Leaders Call for Climate Policy that Works for People

February 24, 2026
CLEAN COOKING

High Costs and Slow Refills: Tanzanian Women Navigate the Reality of Clean Cooking

February 22, 2026
IMG 4964

Rising Temperatures in Dar es Salaam: Tanzanian Women Bear the Brunt of Climate Crisis

February 11, 2026

You Might Also Like

gwajima
News

Tanzanian Government Orders Reopening of Ufufuo na Uzima Church Under Probation

December 31, 2025
vlcsnap 2025 12 14 15h16m17s719
News

Kigoma Women ‘Struggling’ as Mine Pollution and Drought Intensify Water Crisis

December 14, 2025
vlcsnap 2025 10 25 18h35m05s970
News

‘Men Too Are Victims’: Chief Justice Masaju Calls for Broader View on Gender-Based Violence

October 25, 2025
vlcsnap 2025 11 13 11h53m48s690
News

Zanzibar Citizens Welcome 80% Port Fee Cut on Food Imports

November 13, 2025

Follow US:

Inside

  • Human Rights
  • Social Justice
  • Climate Change
  • Transparency & Accountability
  • Gender

About Nijuze

Nijuze is a multimedia publication dedicated to promoting human rights and equality, speaking truth to power, and amplifying voices of the powerless.

© 2026 Nijuze. All rights reserved.
  • Terms and Conditions
  • Editorial Policy
  • Privacy Policy
  • About Us
  • Contact Us
  • Home
Welcome Back!

Sign in to your account

Username or Email Address
Password

Lost your password?